Vitu vya kuepuka Kwa mwenye tatizo la UTI 1. Epuka na ukabiliane na visababishi vya UTI 2. Epuka matumizi ya tissue paper 3. Imarisha kinga ya mwili wako 4. Hakikisha una uzito uliostahiki 5. Tumia vyakula vyenye asili ya vitamin C kama vile ndimu, machungwa na kadhalika 6. Epuka matumizi ya dawa za kupanga uzazi kama vile condom, shindano n.k 7. Jitibu matatizo ya Hormonal imbalance 8. Zingatia usafi wa mwili wako na usafi wa mazingira unayoishi 9. Epuka matumizi ya vyoo vya umma 10. Epuka kuanika chupi zako kwenye bafu au ndani ya nyumba, zianike kwenye jua kabla ya kuzivaa 11. Kunywa maji mengi angalau glass nane Kwa siku 12. Kunywa maji mengi kabla ya kushiriki tendo la ndoa 13. Kuwa na mazoea ya kukojoa kila baada ya kushiriki tendo la ndoa 14. Epuka Kuwa na wapenzi wengi 15. Epuka matumizi ya mihadarati Kama vile pombe, sigara n.k 16 Epuka kuketi sehemu Moja Kwa mda mrefu 17. Fanya mazoezi ya kutosha kama vile kutembea, kukimbia, kuruka kamba n.k 18. Ikiwa unapata Choo kigumu h...
Utafiti na Ushauri wa tiba za asili Lishe na virutubisho pamoja na mimea tiba. Tunahusika na matibabu ya Infertility, UTI, STI & STDs. Pata ushauri bure kabisa bila malipo. Wasiliana na Sisi kupitia WhatsApp au Kwa kupiga simu kupitia namba hii +254717955097 uweze kupata tiba ya haraka na salama. Tunajali Afya yako, Karibu tukuhudumie