Skip to main content

Jinsi ya kuepukana na maambukizi ya UTI



Vitu vya kuepuka Kwa mwenye tatizo la UTI

1. Epuka na ukabiliane na visababishi vya UTI

2. Epuka matumizi ya tissue paper

3. Imarisha kinga ya mwili wako

4. Hakikisha una uzito uliostahiki

5. Tumia vyakula vyenye asili ya vitamin C kama vile ndimu, machungwa na kadhalika

6. Epuka matumizi ya dawa za kupanga uzazi kama vile condom, shindano n.k

7. Jitibu matatizo ya Hormonal imbalance

8. Zingatia usafi wa mwili wako na usafi wa mazingira unayoishi

9. Epuka matumizi ya vyoo vya umma

10. Epuka kuanika chupi zako kwenye bafu au ndani ya nyumba, zianike kwenye jua kabla ya kuzivaa

11. Kunywa maji mengi angalau glass nane Kwa siku

12. Kunywa maji mengi kabla ya kushiriki tendo la ndoa

13. Kuwa na mazoea ya kukojoa kila baada ya kushiriki tendo la ndoa

14. Epuka Kuwa na wapenzi wengi

15. Epuka matumizi ya mihadarati Kama vile pombe, sigara n.k

16 Epuka kuketi sehemu Moja Kwa mda mrefu

17. Fanya mazoezi ya kutosha kama vile kutembea, kukimbia, kuruka kamba n.k

18. Ikiwa unapata Choo kigumu hakikisha unajitibu kwanza

19. Epuka matumizi ya perfumes au mafuta sehemu za siri

20. Pata lishe Bora yenye virutubisho vya kutosha kama vile mboga mboga za majani, matunda n.k

21. Epuka kunyonya uke au uume wakati wa kushiriki tendo la ndoa

22. Epuka kumuingilia mtu au kuingiliwa sehemu ya haja kubwa Wakati wa kufanya mapenzi

23 Epuka kumuingilia mtu au kuingiliwa sehemu ya mdomoni Wakati wa kushiriki tendo la ndoa

24. Epuka matumizi ya sabuni Wakati wa kujisafisha sehemu za siri

25. Epuka vyoo vya kukalia

26. Epuka mavazi ya trouser ikiwa wewe ni mwanamke. Kuwa na mazoea ya kuvaa dera

27. Chupi zenye kubana Sana ziepuke ikiwa wewe ni mwanamke. Unashauriwa kutozivaa kabisa au uvae chupi zenye kichungi ambazo zinaruhusu hewa kupita vizuri

28. Kwa mwanamke hakikisha unabadilisha chupi angalau mara tatu Kwa siku

29. Epuka kuvaa chupi za ndugu, jamaa au rafiki zako.

30. Wakati wa kushiriki tendo la ndoa epuka kupaka mate au kupaka artificial lubricants kwenye sehemu za siri. Kama uke wako uko dry inabidi upate matibabu ya kudumu ambayo itakusaidia kupata Ute Ute sehemu za siri....

Wasiliana na sisi Kwa WhatsApp au Kwa kupiga simu kupitia namba hii +254717955097 uweze kupata tiba ya haraka na salama

Tunajali Afya yako, Karibu tukuhudumie

Comments